Nauza simu ya infinix note 2

Lakini hela umetoa za nini mkuu? Za kuwahonga police?
 
Usingetoa pesa .Ungewaambia wakupeleke mahakamani halafu wamlete Huyo mwanafunzi
 
Daaahhh pole sana mkuu
 
HUMU JF VIBAKA WENGI SANA.


kwaiyo jamaa akataka akupoteze nabado simu yako abebe??
 
Mrejesho


Mlejesho


Dogo ndo ujifunze hapa JF kuna Wanajeshi, Police na maafisa usalama mbalimbali kwaiyo unapo andika uzi uwe unazingatia mambo haya
Aaahh wapo ila msitishe..sema njaa tuu ndo zimejaa mpaka nyote mnajiita maaskar, wanausalama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…