Nauza simu ya infinix note 2

Katika post za kipumbavu ni ile ulioweka, na sikuzote principal ya biashara usioneshe unashida kiasi gani sikuzote wateja huchukulia advantage kwako, ila pole yako
Shukran unachosema ndio kilichotokea wengi walitaka kujinufaisha wakijua tatz ni lakwel
 
Alaka alaka aina balaka
 
Nilijua tu lazima ukutane na hayo uliyokutana nayo....ila usilaumu maana umeyataka
 
Alaka= haraka
 
Hakuna KTU kzur kusoma kama kusoma sheria hat certificate
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…