Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
Haina tatizo lolote,inakioo kikubwa sana,inakaa na charge siku nzima ata kama umewasha data, imetumika miezi 5. Nicheki 0744101064 nipo mwanza
Specs pls!!!Haina tatizo lolote,inakioo kikubwa sana,inakaa na charge siku nzima ata kama umewasha data, imetumika miezi 5. Nicheki 0744101064 nipo mwanza
PoaWeka picha na bei mkuu
Bei gani?Haina tatizo lolote,inakioo kikubwa sana,inakaa na charge siku nzima ata kama umewasha data, imetumika miezi 5. Nicheki 0744101064 nipo mwanza
Ongeza 20120,000 ipo
Ulivyoandika… ALAKA..... kwa kweli acha ushikwe tu..Hii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
Ujui kusoma au?Ww nimpumbavu yani mtu akwambie umeiba na ww unasema ndio nimeiba ukikua utaacha upumbavu wenu