NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,440 Reaction score 2,450 Mar 9, 2017 #21 Aurthur said: Mpya inauzwa laki 5 sa akifanya nusu unashangaa.. Mbona 400k umeshindwa? Click to expand... Mbona 400k nimeshindwa...?, nimeshindwa kufanyaje tena dadangu...? Ulihisi nataka niinunue mama, sikuhitaji kuinunua ila bei aliyoweka na bei nnazojua Kwa Phantom6 ndio nikashangaa. Siku nyingine uspende kudandia treni kwa mbele utapigwa chini uvimbe juu. Acha kufikiri kwa kutumia makalio jaribu kushughulisha ubongo wako walau. Karibu tena.
Aurthur said: Mpya inauzwa laki 5 sa akifanya nusu unashangaa.. Mbona 400k umeshindwa? Click to expand... Mbona 400k nimeshindwa...?, nimeshindwa kufanyaje tena dadangu...? Ulihisi nataka niinunue mama, sikuhitaji kuinunua ila bei aliyoweka na bei nnazojua Kwa Phantom6 ndio nikashangaa. Siku nyingine uspende kudandia treni kwa mbele utapigwa chini uvimbe juu. Acha kufikiri kwa kutumia makalio jaribu kushughulisha ubongo wako walau. Karibu tena.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,985 Mar 9, 2017 #22 hapa warugaruga lazima wapigwe na hilo kopo
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,133 Reaction score 7,352 Mar 9, 2017 #23 Njoo tujenge biashara,,,
sonjames JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 289 Reaction score 386 Mar 9, 2017 #24 Labda ana tatizo wakuu, kimuonekano hiyo simu ni og tena mpya, kama vipi mkuu peleka dukani utapewa nusu pesa.
Labda ana tatizo wakuu, kimuonekano hiyo simu ni og tena mpya, kama vipi mkuu peleka dukani utapewa nusu pesa.
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,133 Reaction score 7,352 Mar 9, 2017 #25 Oyaaa nipm mkuu tufanye business
M mwanamanzi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2017 Posts 270 Reaction score 354 Mar 9, 2017 #26 Mi naitaka. Nitafute haraka