Weka bei mkuuWakuu habari zenu ...Kama tittle inavyo jieleza nauza cm mpya haitumika sababu ya kuuza ni kuwa nimenunulia mama imemushida kutumia anataka cm ndogo portable , specification ni kama hv;
Internal memory 32gb
Camera mbele na nyuma no 23mp
Android version ni 6
Ina Hips
Naambatanisha na pichaView attachment 474015View attachment 474016View attachment 474017View attachment 474018View attachment 474019
Wakuu bei ya hii cm imepungua baada ya kugundua watu wana khali mbaya kiuchumi sasa imekuwa 250k badala ya 400k
Upo wap ww!!
nipigie mzee 0716978592 tufanye biashara nipo dodomaWakuu bei ya hii cm imepungua baada ya kugundua watu wana khali mbaya kiuchumi sasa imekuwa 250k badala ya 400k
Simu ni fake wakuu,Hivi phantom 6 kwa laki 2 halaf Dodoma mbona kama inanipa mashaka kiongozi.
Hebu nitoe wasiwasi mkuu wee uliinunua kwa bei gani mkuu...?
Mpya inauzwa laki 5 sa akifanya nusu unashangaa.. Mbona 400k umeshindwa?Hivi phantom 6 kwa laki 2 halaf Dodoma mbona kama inanipa mashaka kiongozi.
Hebu nitoe wasiwasi mkuu wee uliinunua kwa bei gani mkuu...?
inakuwa wateva[emoji38][emoji4]Hii ni copy ya tecno phantom6,
Sasa tecno yenyewe tu ni werevaa imagine ikiwa copy inakuaje