Nauza simu Tecno boom j8

Nauza simu Tecno boom j8

Wasukuma bhana, yeye akinunua kitu bei juu ndio anajiona mjaaaaaanja. Hiyo simu kwa jua hili ukipata mteja wa 200 k muuzie huyo mteja huku umempigia magoti.
 
Simu ishaenda tyr.. Kwa hyo tuendeleeni Kupiga Kazi jamani
 
Mtu Akikuambia 280 cyo kuanza kulalamika tuu ..biashara maelewano Unaweza chukua Ata Kwa 200 ..tatizo watu mnajifanya wajuaji mno wakat Hata lengo la kununua simu huna Kazi kuharibu soko la watu..
 
Kuna mtu anataka kuniuzia tecno J8 kwa 150 000/ anadai anadhida na pesa vp niichunguzeje kujua ka bado nzima. Nisaidien ataa ushaur ndugu zangu mambo ya cm m sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anataka kuniuzia tecno J8 kwa 150 000/ anadai anadhida na pesa vp niichunguzeje kujua ka bado nzima. Nisaidien ataa ushaur ndugu zangu mambo ya cm m sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa 150 siombaya. coz. sim zimeshuka. Bei. Sana. sema itakua imetumika Sana. mwenyew. natafuta ila. kwa 130. iwe bado. na. earphones zake.
 
Back
Top Bottom