Nauza simu Tecno boom j8

Nauza simu Tecno boom j8

Robbykan

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
509
Reaction score
470
Wakuu habari zenu..
Nauza simu yang tecno boom j8 Imetumika miezi miwili na ina Hali nzuri tuu na ina kila kitu chake pamoja na lisit yake.
Nipo kahama .
Bei ni 280000
Nifuate PM

specifications zake

RAM 2GB
internal storage 16 gb
Primary camera 13 mega pixels
Secondary camera 5 mega pixels
Android version 5.1ikiwa na system ya Hios
 
Wakuu habari zenu..
Nauza simu yang tecno boom j8 Imetumika miezi miwili na ina Hali nzuri tuu na ina kila kitu chake pamoja na lisit yake.

Mawasiliano 0654278188
Nipo kahama .
Bei ni 280000
Dukani sh,ngapi
 
Acha kudanganya watu dukani 350 wajinga ndio waliwao
Kama nakudanganya ingia google utafute hyo Cm Na specifications zake ndo Ujue Hii simu ni kubwa kiasi gani... Ni latest LTE tecno mobile inayotumia mfumo wa Hios
 
Usiwe primitive we msukuma. Unadhani kwa nini tunatumia id fake? Yaani mtu aje whatsapp ili adisclose info zake kwa ajiri ya Tecno J8?

Tupia picha hapa utaongeza hata probability ya kupata wateja kuliko huko.
 
nahisi hii tecno ni zao la fiesta! weka bei inayoendana na mtu mwenye shida upate pesa chap
 
Usiwe primitive we msukuma. Unadhani kwa nini tunatumia id fake? Yaani mtu aje whatsapp ili adisclose info zake kwa ajiri ya Tecno J8?

Tupia picha hapa utaongeza hata probability ya kupata wateja kuliko huko.
Ok poa mkuu
 
Back
Top Bottom