Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new ..
Bei 210k ..
Mteja serious..0684 56 25 23
Unapata charge original..pamoja na earphones
1.Risiti sina mkuu .. ila ni mali yangu halali .. uthibitisho upo ..
2..Haina kipengele.. nauza kwa dharura ..
3..nipo dar mbweni ..
Naamini nimekujibu boss