Nauza simu nokia x2-01

Nauza simu nokia x2-01

Pretty Tunu

New Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari waungwana nauza simu nokia x2-01 ni original haijatumika sana na wala cyo mbovu,sijawahi kuipeleka kwa fundi,ina whatsapp,twitter,facebook,badoo n.k bei ni 60,000 kwa atakaye hitaji ntampa namba
 
Back
Top Bottom