Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 23
Nauza Simu aina ya tecno c8 Simu haina tatizo lolote na simu imetumika kwa miezi sita tu simu ina uwezo mzuri sana katika utendaji kazi so hautajutia kuinunua na ukiitumia ukagundua tatizo lolote utarudishiwa hela yako bei ni tsh 220,000 na mawasiliano ni 0715 505115. 0753505115 au 0689330820.