Nauza sheet za kutengenezea masofa

Mr No fair

Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
84
Reaction score
127
Kwa wale mafundi masofa ya kukalia na vitanda vya masofa au wenye maduka ya magodoro popote nchini nakutumia tunauza kwa kilo hii kwa mafundi inasaidia kwenye suala la baheti pia ni biashara kwa wenye maduka

Zipo katika hali hizi

Fresh sheet- 6500 kwa kilo

Mchanganyiko fresh na rejected sheet 5500 kwa kilo

Tupo JIJINI DODOMA

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…