Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

Dith

Member
Sep 30, 2020
57
15
Shamba hili lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na kibululu primary school (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda).

Lina heka 4 zinapelea kidogo.

Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.

Shamba lina kisima ndani yake kisicho na tanki na mota, shamba safi halina vichaka.
Kilometer 3.5 kutoka barabara ya lami.

Kutoka mbagala mpaka kikungo ni shilingi 1400 kwa usafiri wa daladala, kutoka hapo kikungo stand mpaka shambani kwa bodaboda ni shilingi elfu moja, kwa miguu ni kama dakika 20 au nusu saa itategemea na mtembeaji.

Bei ni shilingi 15M fixed. Kwa mawasiliano namba ni 0769917961 au 0783563835

Angalia picha za shamba hapa
IMG_20201002_131402_629.jpg
IMG_20201002_130843_016.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom