Nauza shamba Morogoro eka 20

Nauza shamba Morogoro eka 20

Heka moja ndo 2,500,000/=,ama zote 20?,zinafaa kufuga ama kilimo cha umwagiliaji..
 
Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba lipo jirani na mto usiokauka maji linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
hiyo bei ni kwa shamaba lote?,shamba liko sehemu gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom