Nauza shamba Mkuranga

Nauza shamba Mkuranga

toccara

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
540
Reaction score
203
Shamba lipo Mkuranga kupita kimanzichana kijiji cha Mkiu km 6 kutoka barabara kuu iendayo Mtwara, ni heka 35 nauza zote kwa pamoja kila heka 550,000. Hakuna dalali mimi ndiyo mmiliki, kwa mawasiliano 0627748402. Karibuni
 
Hilo shamba lina mimea au niseme mazao kama minazi, miti ya matunda?
 
Naomba tofauti Zake ila ukitaka shamba ninalo na pia ukitaka pori ninalo

Shamba ni ardhi iliyolimwa na ina mazao amma ya kudumu amma ya muda mrefu amma ya muda mfupi.

Pori lina miti shamba na au manyasi tu ambayo si mazao ya kupelekwa sokoni.
 
Shamba lipo Mkuranga kupita kimanzichana kijiji cha Mkiu km 6 kutoka barabara kuu iendayo Mtwara, ni heka 35 nauza zote kwa pamoja kila heka 550,000. Hakuna dalali mimi ndiyo mmiliki, kwa mawasiliano 0627748402. Karibuni
Heka 35 then kuna miche 20!!! Bado unaliita shamba! You are not serious.
Inaweza kufika 20
 
Ukipata mteja nitafute nikupeleke Bar yenye mademu wakali apa town, Mil. 19 sio ndogo.
 
Heka 35 then kuna miche 20!!! Bado unaliita shamba! You are not serious.
Heka 15 nilipanda ufuta mwaka huu hivyo ziko safi, heka 10 zilikuwa na mihogo zimebaki 10 ambazo sikuwahi kuzigusa, may be ulitaka michungwa iwe mingapi katika hizo heka kumi ambazo bado hazijasafishwa na mikorosho iwe mingapi? Nisingeweza kufafanua hivi kwa kila mtu. Lakini nina imani walio serious wameshanipigia. Wengine asanteni kwa mawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom