Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,766
Milioni arobaini na tano au ulisahau kuweka . Ukimaanisha mil 4.5Shamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako. Namba 0735757595
Milioni arobaini na tano au ulisahau kuweka . Ukimaanisha mil 4.5Shamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako. Namba 0735757595
Hapo umeua. Shemeji zangu huko ardhi ni ya ukoo na ni lazima kuwe na kibali. Au pia ndugu waruhusu.Weka hapa muhtasari wa kikao cha wana ndugu kilicho kuruhusu kuuza hilo shamba
Mbona ameweka amount ndogo sana? Mkuu hii hela ndogo sana na ukweli unaujua thamani ya ardhi ya huko. Hiyo issue haiwezi kuwa pending kidogo?
[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu utakua huijui thamani ya ardhi kuleMilioni arobaini na tano au ulisahau kuweka . Ukimaanisha mil 4.5
HahahaWeka hapa muhtasari wa kikao cha wana ndugu kilicho kuruhusu kuuza hilo shamba
Maswali ni mengi sana na bahati mbaya yamekosa majibu. bei aliyoiweka ni sawa na amelitoa shamba bure kwa eneo alilolitajaMbona ameweka amount ndogo sana? Mkuu hii hela ndogo sana na ukweli unaujua thamani ya ardhi ya huko. Hiyo issue haiwezi kuwa pending kidogo?
Hakuna alternative ingineyo yeyote ile meku ikafanyika?
Je.. ndani ya ukoo hakuna wa kununua likabaki kwenye ukoo?
Mwenyezi Mungu awatangulie mukapate alternative ingineyo ya kutatua tatizo lenu.. Amen
upo sahihi kumuuliza huo mto unaitwa Una, na huko Mieresini kuna eneo la tambarare kuna mashamba mengi ila ua Kurithi na huwa HAYAUZWIMieresini ni marangu au ni Himo?
Yaani nimesikitika kweli. Huko huwa hata uwe na shida gani si rahisi aisee. Ni mali ya ukoo huwaga.Maswali ni mengi sana na bahati mbaya yamekosa majibu. bei aliyoiweka ni sawa na amelitoa shamba bure kwa eneo alilolitaja
Yaani lazima ukoo uridhie. Kule last na imashini kuna mashamba na hakuna mwendaji wala mlimaji lakini hakiuzwi kitu. Nani anataka vurugu na ukooupo sahihi kumuuliza huo mto unaitwa Una, na huko Mieresini kuna eneo la tambarare kuna mashamba mengi ila ua Kurithi na huwa HAYAUZWI
Kimbembe wana ndugu ni wengi sana hata huwezi sema wote wamekubali, ukiunua kesho Kikao na ni mbeke wataibuka watakaopinga.
ngoja waje wenyewe km walivyoitwa
luambo makiadi
pendomamtefu
Unahitajika kwenye kikao cha ukooShamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako. Namba 0735757595
Ni kweli kabisa haya maeneo ya kurithi hayauzwi, kwani yamenunuliwa na Mababu sasa unaweza kuta Mjukuu au mtoto mmojawapo akapinga, basi kwa hofu kila mtu atajitoa na pesa kupoteaYaani nimesikitika kweli. Huko huwa hata uwe na shida gani si rahisi aisee. Ni mali ya ukoo huwaga.
Tumewahi nunua eneo bwana miaka ya nyuma kidogo kwenye mid 90s. Kwa jirani tu lakini si ukoo mmoja. Baadaye yule aliyetuuzia si akatuongezea eneo maana ni mlevi kweli na hana
mtoto wa kiume anaye binti tu. Bwana weee.. polisi hawa hapa wakaja msomba bibi kwa niaba yetu maana ndo muangalizi. Akapelekwa kituoni huko chini ya ulinzi mkali aeleze kwanini tunapora eneo la ukoo. Kiliniuma jamani.. basi maelewano yakafanyika baada ya simu. Bibi wa watu hata hekahela hawezagi maana na mahoo kweli. Ile hela tuliyolipia bwana ilaja ongezwa tena. Si rahisi kihivyo. Na si kwa hii hela ndogo hivi. Maeneo ya urithi si rahisi aisee.
Well said, shida siyo ardhi ila tatizo ni mila za wazee . ardhi kwanza ni ndogo na ardhi ni mali ya UKOO siyo familia, ndio maana mtu heri afe kwa kukosa hela za matibabu lakini siyo kuuza ardhi maana kuuza ardhi Uchaggani siyo kawaida ni kama vile wizi au unauza mali isiyo ya kwako kwa kuwa uliachiwa na wewe unapaswa kuachia wengine. Ukitaka kuuza ardhi Uchaggani basi wewe ndio uwe uliinunua hiyo ardhi kwa pesa zako kitu ambacho hakiwezekani maana mababu wa kale ndio walionunua au kumiliki, kwa hiyo kama ni kuuza basi babu zetu ndio walikuwa na haki ya kuuza lakini siyo watoto au wajukuu,lakini siyo kwamba unauza kisa umeirithi, Ili ujue kuuza kiamba uchggani ni mwiko basi zipo familia zipo radhi kuchangisha fedha ili kukomboa ardhi iliyouzwa kinyemela ili tu irudi katika Ukoo iendelee kunufaisha kizazi kinachokuja.Yaani nimesikitika kweli. Huko huwa hata uwe na shida gani si rahisi aisee. Ni mali ya ukoo huwaga.
Tumewahi nunua eneo bwana miaka ya nyuma kidogo kwenye mid 90s. Kwa jirani tu lakini si ukoo mmoja. Baadaye yule aliyetuuzia si akatuongezea eneo maana ni mlevi kweli na hana mtoto wa kiume anaye binti tu. Bwana weee.. polisi hawa hapa wakaja msomba bibi kwa niaba yetu maana ndo muangalizi. Akapelekwa kituoni huko chini ya ulinzi mkali aeleze kwanini tunapora eneo la ukoo. Kiliniuma jamani.. basi maelewano yakafanyika baada ya simu. Bibi wa watu hata hekahela hawezagi maana na mahoo kweli. Ile hela tuliyolipia bwana ilaja ongezwa tena. Si rahisi kihivyo. Na si kwa hii hela ndogo hivi. Maeneo ya urithi si rahisi aisee.
Kwanza unauzaje mali yako aisee.. bora nife tuNi kweli kabisa haya maeneo ya kurithi hayauzwi, kwani yamenunuliwa na Mababu sasa unaweza kuta Mjukuu au mtoto mmojawapo akapinga, basi kwa hofu kila mtu atajitoa na pesa kupotea
Umemaliza yoote. Unauzaje kwamfano. Eneo lilivyo dogo sasa. Ma wengi wetu serikali iliwapatia maeneo Handeni na Morogoro huko. Yote ni kwasababu ya uhaba wa ardhiWell said, shida siyo ardhi ila tatizo ni mila za wazee . ardhi kwanza ni ndogo na ardhi ni mali ya UKOO siyo familia, ndio maana mtu heri afe kwa kukosa hela za matibabu lakini siyo kuuza ardhi maana kuuza ardhi Uchaggani siyo kawaida ni kama vile wizi au unauza mali isiyo ya kwako kwa kuwa uliachiwa na wewe unapaswa kuachia wengine. Ukitaka kuuza ardhi Uchaggani basi wewe ndio uwe uliinunua hiyo ardhi kwa pesa zako kitu ambacho hakiwezekani maana mababu wa kale ndio walionunua au kumiliki, kwa hiyo kama ni kuuza basi babu zetu ndio walikuwa na haki ya kuuza lakini siyo watoto au wajukuu,lakini siyo kwamba unauza kisa umeirithi, Ili ujue kuuza kiamba uchggani ni mwiko basi zipo familia zipo radhi kuchangisha fedha ili kukomboa ardhi iliyouzwa kinyemela ili tu irudi katika Ukoo iendelee kunufaisha kizazi kinachokuja.
Kwa hiyo kwa kifupi kuuza ardhi Kaskazini ni kama vile kuuza asili ya mababu na ni Ubinafsi mkubwa kuwanyima haki vizazi vijavyo
Ukiona mtu kauza kiamba uchaggani basi mfuatilie vizuri, ni failure huyo tiyari na pengine laana ya mababu tiyari ipo juu yake na hawezi kufanikiwa kwa hela aliyoipata kuuza ardhi.Umemaliza yoote. Unauzaje kwamfano. Eneo lilivyo dogo sasa. Ma wengi wetu serikali iliwapatia maeneo Handeni na Morogoro huko. Yote ni kwasababu ya uhaba wa ardhi
Eka meku. Ikumba mali odee mbe. Odeee.Ukiona mtu kauza kiamba uchaggani basi mfuatilie vizuri, ni failure huyo tiyari na pengine laana ya mababu tiyari ipo juu yake na hawezi kufanikiwa kwa hela aliyoipata kuuza ardhi.
Ndio maana wachagga wanakimbia migombani kwenda maeneo mengine ku grab ardhi kadri wanavyoweza, ardhi ya kijijini inabaki kama alama ya ukumbusho wa asili tu
Hamna mafuriko kabisa mto upo mbali na shamba pia eneo limeachwa kubwa kama sehemu ya mto ambalo unaweza kutumia pia.Hakuna mafuriko maana unasema shamba linapakana na mto.
Nikipata binti mwenye interest na mambo ya shamba nipo tayari kununua.