toccara
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 540
- 203
Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola, heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana.
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app