Nauza Shamba la Hekari Moja

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,889
Reaction score
9,633
wakuu nauza shamba lenye ukubwa wa Hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama mikorosho, miembe, minazi na karanga, Shamba liko Manispaa ya mtwara sehemu inaitwa Naliendele shangani ni karibu kabisa na barabara kuu... Bei yangu ni Milion 17 maongezi yapo unaweza kunicheck 0767 723294
 

Attachments

  • WP_20161116_12_19_11_Pro.jpg
    304.1 KB · Views: 63
  • WP_20161116_12_19_15_Pro.jpg
    307.2 KB · Views: 59
  • WP_20161116_12_19_56_Pro.jpg
    302.7 KB · Views: 62
Mbona hiyo miembe na mikorosho siioni kwenye picha au mm ndiyo sioni vizuri?
 
Mbona hiyo miembe na mikorosho siioni kwenye picha au mm ndiyo sioni vizuri?

shamba ni kubwa boss na kila kitu hakipo sehem moja so ni ngumu vitu vyote kuonekana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…