Nauza shamba Ifakara

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,274
Reaction score
4,512
Shamba linaukubwa wa heka mbili lipi nnje kidogo ya mji wa ifakara lipo baada ya airport ya ifakara maji bomba yapo Jirani na ukitaka kuchimba maji (Water table ipo juu) unachimba kidogo tuu bei ni 2m kwa heka moja.

Mazao yanayokubali n mpunga,ufuta,karanga,viazi,mihogo,mahindi, na yenye dalili za hzo. H

Pia kwa umwagiliaji kitunguu maji,swaumu,Mpunga,mahindi kunde nlipeleka udogo sua wakaupima

Hata kwa ufugaji kuna jamaa Jirani anafuga samaki na kuku @large scale

Tuwasiliane kwa uhitaji piga
0717485865
 
Mkuu usiuze shamba. Uza mazao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…