Nauza shamba ekari 3.5 Arusha - Kiwke

Nauza shamba ekari 3.5 Arusha - Kiwke

Njopa

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
192
Reaction score
30
Shamba lipo eneo zuri linalokua kwa haraka takriban kilometa 1.7 toka Mandela University. Shamba lipo mkabala na Chuo cha Mandela, Hort Tengeru, Usa river, barabara ya Old moshi, Mererani na Barabara ya East afrika inayotarajia kujengwa, mara unapoanza pacha ya barabara ya Mereranil baada ya mita 500 unapokuta nguzo za kwanza za miti za umeme kulia ndipo shamba lilipo. Ni mahali unapoweza kuwekeza Shopping complex, Petrol stations. Hotel au makazi n.k. Baadhi ya maendeleo mkabala na shamba hilo ni pamoja na shule mpya ya English media , Kituo cha walemavu na Kituo cha wakorea ambapo wamenunua kiwanja tayari kwa ujenzi. Eneo limekaa vizuri kwa namna nyingi, ni rahisi kufika KIA, Moshi, kuna Reli, karibu na soko laTengeru; Ngurudoto, USA river, Moshi etc, Maji ya kuchimba ni mengi ndani ya mita 15 tu lakini ya bomba yapo japo mbali kidoogo tokea shamba lilipo ila umeme upo kama mita 200 tu, Kuna miti kadhaa ya asili na vichaka. Shamba lipo kilomita 17 toka mjini Arusha na unaweza kupitia tengeru au kijenge ili kufika shambani. Bei ni 20Millions ekari o.n.o. Mawasiliano; 0786262635

DSC_0511.JPGDSC_0508.JPGDSC_0514.JPG
 
Sawa sawa Ekari moja yaani miguu 70 kwa 70 ni milioni 20
 
Sawa Ekari 1 na sio Heka ni milioni 20 au ofa ya karibu (Heka 1 = 2.5 Ekari) na Ekari 1 ni takriban 4900 mita za mraba/eneo
 
sawa ekari 1 na sio heka ni milioni 20 au ofa ya karibu (heka 1 = 2.5 ekari) na ekari 1 ni takriban 4900 mita za mraba/eneo
hizo hisabati zako sio sahihi

i acre is approximately 4047 sq m. Au mita za mraba 4047 ni sawa na ekari moja.

Ila hiyooooo bei ndio utata.
 
hizo hisabati zako sio sahihi

i acre is approximately 4047 sq m. Au mita za mraba 4047 ni sawa na ekari moja.

Ila hiyooooo bei ndio utata.

Nashukuru mkuu kwa vipimo sahihi, bei inaweza pungua kidogo
 
Mnalalamika ekari moja ml20? Subirini baada ya miaka mi5 eneo hilo hilo mita 30 kwa 30 itakua bei gani.
 
Mnalalamika ekari moja ml20? Subirini baada ya miaka mi5 eneo hilo hilo mita 30 kwa 30 itakua bei gani.

Mkuu uko sawa lakini miaka mitano ni mingi sana, mie nna shida tu pale kwangu hivi karibuni kutaanza jengwa barabara ya East Africa, kweli ingekua sio shida hii nisingekosa hata 30m kwa ekari, bei za Arusha ndio zilivyo! Yupo jamaa yangu hapa Ngaramtoni ameuza kipande cha ardhi kwa 32m ambapo katika Ekari moja vipande kama hivyo vinapatikana sita????????...............Think about it. Asanta
 
Ok naona watu wengi wanalalamika kuhusubei..........! Nakuhakikishieni kwamba kwa bei hiyo hautakuja jutia kwa hapa Arusha na sehemu yenyewe, najua hii barabara ya EAC na mambo mengine yatayojiri bei zitakua nzuri zaidi, lakini kwa ajili ya shida na uharaka unaohitajika kama yupo mtu anahitaji nitaweza mpa kwa 15,000,000.00 kwa ekari, bei hii haina mazungumzo tena, lakini biashara ya kwanza itayofanyika ndio ya itakua ya mwisho, kwa maana kwamba akipatapatikana mteja yeyote wa kwanza akanunua hata hekari moja tu, basi sitauza tena eneo litalobaki, lakini ikawa wa kwanza huyo akahitaji zote kwa bei hiyo itakuwa sawa

Shamba lipo eneo zuri linalokua kwa haraka takriban kilometa 1.7 toka Mandela University. Shamba lipo mkabala na Chuo cha Mandela, Hort Tengeru, Usa river, barabara ya Old moshi, Mererani na Barabara ya East afrika inayotarajia kujengwa, mara unapoanza pacha ya barabara ya Mereranil baada ya mita 500 unapokuta nguzo za kwanza za miti za umeme kulia ndipo shamba lilipo. Ni mahali unapoweza kuwekeza Shopping complex, Petrol stations. Hotel au makazi n.k. Baadhi ya maendeleo mkabala na shamba hilo ni pamoja na shule mpya ya English media , Kituo cha walemavu na Kituo cha wakorea ambapo wamenunua kiwanja tayari kwa ujenzi. Eneo limekaa vizuri kwa namna nyingi, ni rahisi kufika KIA, Moshi, kuna Reli, karibu na soko laTengeru; Ngurudoto, USA river, Moshi etc, Maji ya kuchimba ni mengi ndani ya mita 15 tu lakini ya bomba yapo japo mbali kidoogo tokea shamba lilipo ila umeme upo kama mita 200 tu, Kuna miti kadhaa ya asili na vichaka. Shamba lipo kilomita 17 toka mjini Arusha na unaweza kupitia tengeru au kijenge ili kufika shambani. Bei ni 20Millions ekari o.n.o. Mawasiliano; 0786262635

View attachment 178661View attachment 178659View attachment 178660
 
Back
Top Bottom