Nombo de classic
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 296
- 392
Mkuu mimi nahitaji hekari mbili nipo serious, naomba nijulishe kama naweza kupataHabari ndugu! Nimepata shida ya ghafla melazimika kuuza shamba langu lililoko Bagamoyo barabara ya kuelekea sadani.
Shamba nzuri ardhi ina faa kwa kilimo cha mazao mbali mbali pia haliko mbali na bara bara.
Shamba lina ukubwa wa hekari 34 kwa sasa ntauza hekari 24 tu. Sio lazima ununue hekari zote 24 hata Kama unahitaji hekari 3 au 4 ntakuuzia.
Bei ni Tsh 150,000/= tu kwa hekari
Mawasiliano: 0769272733View attachment 1041761
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada amepotea.sijui kakumbwa na nini ngoja tumsubiriKama bado zipo nami nahitaji...tupe uelekeo na umbali toka Bagamoyo mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu! Nimepata shida ya ghafla melazimika kuuza shamba langu lililoko Bagamoyo barabara ya kuelekea sadani.
Shamba nzuri ardhi ina faa kwa kilimo cha mazao mbali mbali pia haliko mbali na bara bara.
Shamba lina ukubwa wa hekari 34 kwa sasa ntauza hekari 24 tu. Sio lazima ununue hekari zote 24 hata Kama unahitaji hekari 3 au 4 ntakuuzia.
Bei ni Tsh 150,000/= tu kwa hekari
Mawasiliano: 0769272733View attachment 1041761
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nimeduwaa, kama itakuwa ni kweli basi ntanunua hekari kumi
Mi mwenyewe nimeduwaa, kama itakuwa ni kweli basi ntanunua hekari kumi
Ila ni mpaka nijiridhishe maana hapa nahisi kama kuna jambo silielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka apandishe bei au? Mjapani alitengeneza vikirikuu kwa ajili ya kusogeza vitu vidogovidogo hapa na pale ambapo bei yake ilikuwa haizidi milioni mbili hadi usajili, wabongo tukaviparamia kwa fujo hadi sasa ivi vinazidi milioni kumi. Yeye anauza 150,000 kwa eka,hajakwambia location vzr, ww unaona ni bei rahisi sana!