Wewe ulitaka iwe shiling ngapiEka 5kwa 4.5?
Ni umbali gani kutoka barabra YA lami hadi shambaniNina shamba fukayosi bagamoyo naliuza 4.5m.eka 5.malipo kwa installment pia yanawezekana.
Ni 11km kutoka Barbara ya rami.in kiwanja nilinunua vya miradi ambapo ukilipa yote unashughulikiwa Na hati ya kijiji.siuzi below eka tano maana kilikatwa eka tano nzima.Ni umbali gani kutoka barabra YA lami hadi shambani
Wewe ndo unauza?Wewe ulitaka iwe shiling ngapi
Mtu anauliza maswali mengi alafu anaponda utafikiri ni mnunuzi vile kumbe pasuaaWenye hela wanafuatilia.
Wengi humu wababaishaji,maana maswali mengine mpaka aibu