E Eligius Ponsian Member Joined May 3, 2023 Posts 5 Reaction score 4 Aug 5, 2025 #1 Mimi ni Mwandishi wa Simulizi, kwa sasa ninazo simulizi Mbili za Maisha, ambazo wacheza filam wanaweza kuzitumia kuigiza. Kwa anayehitaji, tuwasiliane Whatsapp 0768615672
Mimi ni Mwandishi wa Simulizi, kwa sasa ninazo simulizi Mbili za Maisha, ambazo wacheza filam wanaweza kuzitumia kuigiza. Kwa anayehitaji, tuwasiliane Whatsapp 0768615672
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,801 Reaction score 60,645 Aug 5, 2025 #2 Sasa mkuu Nina swali mtu akija si inabidi azione je aki copy idea yako.maana nachojua mtu hawez kutoa hela kama hajaipenda Nieleweshe hapo NB:sina maarifa na hio movies industry
Sasa mkuu Nina swali mtu akija si inabidi azione je aki copy idea yako.maana nachojua mtu hawez kutoa hela kama hajaipenda Nieleweshe hapo NB:sina maarifa na hio movies industry
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,795 Reaction score 9,115 Aug 5, 2025 #3 ndege JOHN said: Sasa mkuu Nina swali mtu akija si inabidi azione je aki copy idea yako.maana nachojua mtu hawez kutoa hela kama hajaipenda Nieleweshe hapo NB:sina maarifa na hio movies industry Click to expand... Swali Zur sana
ndege JOHN said: Sasa mkuu Nina swali mtu akija si inabidi azione je aki copy idea yako.maana nachojua mtu hawez kutoa hela kama hajaipenda Nieleweshe hapo NB:sina maarifa na hio movies industry Click to expand... Swali Zur sana
Mpentecoste JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 357 Reaction score 427 Aug 5, 2025 #4 Umeandika kwa font aina ya Courrie new size 12?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,922 Aug 7, 2025 #5 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
E Eligius Ponsian Member Joined May 3, 2023 Posts 5 Reaction score 4 Aug 13, 2025 Thread starter #6 Mpentecoste said: Umeandika kwa font aina ya Courrie new size 12? Click to expand... Ndiyo