kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Usimkatishe tamaa,inategemea na ubora na mwaka wa gari. Anaweza akampata tajiri wa mawe hio 70 sawa na laki.Huwezi kupata kwa bei hiyo. Siku hizi mpaka million 40 unapata
Ina Front axle mbili mkuu, zile axle za hapo mbele huwa gari ikikata kona zinageuka pamoja, pia muundo wake hiyo gari ni kama mende tu, kwani mende ana miguu mingapi kijana?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Samahani wakuu, hivi kwanini inaitwa mende?
Kweli mkuu, hata mimi ninaona mende wawili tofauti. Mmoja wa kijivu, mwingine wa blue.Acha utani,mbona kuna scania mbili tofauti hapo
nickname tuSamahani wakuu, hivi kwanini inaitwa mende?
Ok ngoja nisikilize mjadala kwanzaWakuu hodi humu ndani!
Nina Scania mende ambayo ipo sokoni inauzwa
Details:
Year: 2008
Brand: Scania
Price: 71 million
Capacity: 41Tones
Contact: 0625568600
Ndo maana siku hizi JF nimeigeuza kama google ndogo hv....ha ha haaaa..Ina Front axle mbili mkuu, zile axle za hapo mbele huwa gari ikikata kona zinageuka pamoja, pia muundo wake hiyo gari ni kama mende tu, kwani mende ana miguu mingapi kijana?[emoji23] [emoji23] [emoji23]