Nauza Samsung Galaxy tablet 10.1

Nauza Samsung Galaxy tablet 10.1

bukabwa

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
112
Reaction score
18
Nauza Samsung Galaxy tablet 10.1
ILA ina skrachi kidogo ktk kioo cha nje.
Ina hali nzuli tsh 600,000/=
0759777493
 
Khaa!!! January hii nani asiyeijua? Mnaendekeza bata wakati wa sikukuu za december bila ya kuwa na bajet. Mtauza hadi chupiz
 
ada ada wakuu msaidieni mwezenu kununua haya maisha hayana huruma
 
Yote hayo ndo ya January lakini kwangu sitarehe wala kodi wala ada. ILA Kuna mtu aliweka bondili December sasa naona ameshindwa kugomboa
 
Jina la majibu ya comment yako viko sawa.
 
Kugawa huwa unatoa kwa Moyo, sio kuambiwa.
 
Back
Top Bottom