Simu ni nyeupe na imetumika kwa miezi miwili tu.
Ipo na Earphone na charger yake na Cover lake.
Google specifications zake.
Bei ni 220,000
Post bure kwenye website ya "www.dalali .co.tz" na uuze fasta!
Simu ni nyeupe na imetumika kwa miezi miwili tu.
Ipo na Earphone na charger yake na Cover lake.
Google specifications zake.
Bei ni 220,000
Acha ujinga wewe,una kera bhana,kila thread umeweka huo ujnga wako
Mkuu huyo jamaa wa dalali.com ni kero sana ndani ya jukwaa hili hivi anadhani huko anakotaka waende wakauze hawakujui.
Yaani kila thread anaandika sasa ikiwa huko dalali.com kuna wanunuzi hata hapa wapo.