Nauza Samsung Galaxy S5 mpya


Nauza samsung galaxy S4 kwa 600,000
 

Mkopeshe hiyo hela ili asiuze simu hiyo
 
Kumbe kuuliza ni dharau??

Kama simu unaipenda sana kiasi cha kujuta kuiuza... kwaninj usiuze kitu kingine?

Ili usiumie sana siku nyingine, nakushauri usinunue benz wakati uwezo wako ni wa bajaji.

dharau iyo wala sio sifa kumdhihaki mtu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
dharau iyo wala sio sifa kumdhihaki mtu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sijamdharau mtu kwa kusema ukweli.

Vinginevyo angeiuza kiroho safi tu. Ukiuza kitu kwa kusononeka mnunuaji pia atasononeka....
 
Du kaka pole sana kweli shida ni balaaa nakumbuka hata me yalinikuta mipango iligoma mwenye nyumba kanikomalia nilitaka kuuza gari yangu ili nilipe kodi aisee ila mungu ni mwema baada ya siku mbili tu nikapata safari kiofisi nje ya nchi mipango yote ikaenda sawa nakushahuri vumilia kama una mshikaji akuazime tu hyo pesa ila siyo kwa riba maanke ni mkosi ila hyo simu usiuze kaka
Pole sana
 

Dada sijui Kaka nimekuinbox msg kibao ila naona kimya sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…