Nauza Samsung Galaxy S5 mpya

Mbona unauza bei sana inamaana hiyo simu ungekua hauna shida ungeuza sh. Ngapi na dukani ni sh. Ngapi

Una sh ngapi mkuu?? Inauzwa milioni moja na laki moja na nusu
nisingekua na shida nisingeiuza mkuu
Ahsante
 

inapungua tsh ngap?
ama ndio mwanzo mwisho
 

Mrudishie hiyo mwambie akupe iPhone 6 uje nikupe hela
 

Nenda ulipo nunua hyo simu wit all the documents waambie unashida na hyo pesa na kama watakubali wakupe hela pungufu ya ile buying price uliyotoa, wataiangalia hali yake then they might consider u...
Wale ni wafanya biashara lengo lao ni faida wanaweza fanya makeke wakaiuza tena hela nzuri tu. Nchi za ulaya wanafanya sana hzo issue.
Goodluck.
 
nalia sababu kuja ipata tena kama hii sio rahisi
iyo pesa naihitaji kwasasa haraka iwezekanavyo ndio maana naiuza

SIKUKOPA

heshima kitu cha bule ndugu yaan nikope ndo ninunue simu?USIMDHARAU USOMJUA

Kumbe kuuliza ni dharau??

Kama simu unaipenda sana kiasi cha kujuta kuiuza... kwaninj usiuze kitu kingine?

Ili usiumie sana siku nyingine, nakushauri usinunue benz wakati uwezo wako ni wa bajaji.
 

Umenijibu vema ukamalizia na kuniadhibu. Yani nitoke huku Sudan ya Kusini mpaka Daslam Tanzania Posta mpya kuja tu kuulizia bei ya simu? Si ungeniambia tu bei yake? Naamini hicho kidude hakizidi hela ya madafu 1.5m. Au nimekosea?
 
acheni mambo ya ajabu ndg yetu ana shida kama uwezi kuongea busara bora ukae kimya

Hata kama ni shda kwan ni wakwanza yeye kuwa na shda...
kulia lia sio vzur uza kitu kiroho safi.

anyway unapatikana mitaa ip muuza cm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…