Ahsantedah maisha tu kaka pole.yashanikita hayo niliuza tv samsung inch 42 iliniama sana ila ndio maisha mtu kinamfaavchake
Vuta subira shida itapita lakini kuipata tena hiyo cm ukishauza ni kaazi kweli kweli
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii
ahsante mamii wangu nauza uku nalia moyoni
tangazo zuri na simu yaukweli usiiuze vuta subra utapata iyo pesa kwa namna usiyoitarajia
pole sana shida izi mbaya sana
Kwanini unalia??
Kwamba uliinunua kwa hela ya mkopo au??
Mbona umemsikitikia sana? Kwani bei yake ni shingapi?
Mbona unauza bei sana inamaana hiyo simu ungekua hauna shida ungeuza sh. Ngapi na dukani ni sh. Ngapi
dah maisha tu kaka pole.yashanikita hayo niliuza tv samsung inch 42 iliniama sana ila ndio maisha mtu kinamfaavchake
Kama yangu vile yaan nnayo kama Iyo mpaka huruma jaman vumilia usiiuze maana kuipata tena kama Iyo sio rahisi
pole sana mamii
acheni mambo ya ajabu ndg yetu ana shida kama uwezi kuongea busara bora ukae kimya