Kisusi Mohammed
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 563
- 468
hakuna mang'ombe humu baki na kopo lako huko... laki tatu na nusu akupe nani kwanza li'clone tena ushavunja kioo.. pathetic
Mbona mnaongea sana mngemuuliza kwanza yeye kauziwa sh ngapi? Usikute kapigwa laki saba na nusu anataka mgawane nusu hasara, hizi clone za note 3 zinatisha ukiingia kichwakichwa unaweza ukajua ni original
Yan chron upewe laki 3 na nusu hata km kioo kingekua bdo kuvunjika bdo laki 3 parefu saana
Nna laki mbili mkuu