Unauza kwa utaratibu upi?Habari,
Ninatoa huduma ya kutafuta na kuandaa samaki wabichi na kutuma kwa walio mikoani, nipo Musoma. Kwa anaeitaji anicheki (inbox).
Wanakuja wakiwa wameganda.
Sato na Sangara wanapatikana.
Contact:0766968340
Nicheck kwa hiyo no kaka, ili tuongee ama ni inbox namba yakoUnauza kwa utaratibu upi?
Uko pande zipi?mie natafuta kambale wabichi...
Utapata, nipo Musoma, wahitaji kiasi ganiUko pande zipi?
Mie namtafuta Hornet,nasikia eti ana chura la haja!mie natafuta kambale wabichi...
Nikijua conditions ndo nitajua naweza -hitaji kiasi ganiUtapata, nipo Musoma, wahitaji kiasi gani
Mkuu kilo ya sato bei gani na sangara bei gani. Vutia wateja hapa negotiations ndio huko PM lakini bei elekezi weka hapa.Nauza kwa bei ya jumla, mi nakuuzia kwa bei ya jumla, tunapima kwa kilo kulingana na kilo unazoitaji, unatuma pesa ya kilo za samaki unazotaka then nakutumia mzigo.
Njia ya utumaji.
Tunatuma kwa malori yanayobeba mboga hasa ya samaki. Gharama za usafiri ni juu yangu. Karibu.
Sato 7500 kiloMkuu kilo ya sato bei gani na sangara bei gani. Vutia wateja hapa negotiations ndio huko PM lakini bei elekezi weka hapa.
Asante sana. sijui kama imeelezwa hapo juu? Uzito wa chini kwa mzigo kuagiza ni kg ngapi? Mzee natamani sana lakini payment in advance inanipa shaka maana sikujui wala sijui ofisi yako ilipo. Niondoe shaka kwa hili nianze kuagiza kitoweo. Si unajua dunia sasa imani imekwisha!Sato 7500 kilo
Sangara 5500 kilo
hapa Kimara, Dar es salaam , mkuu.. unao?Uko pande zipi?
Mie namtafuta Hornet,nasikia eti ana chura la haja!
Uko wapi na unahitaji kiasi ganimie natafuta kambale wabichi...