Hivi unijua bei harisi ya hizi makitu kwa hapa dar.....inaonekana upo polini sana aseeNauza sabufa mpya aborder 160,000/= Bluetooth , usb na mengineyo yote yapo.
ahsante.
Namba simu : 0652612028
View attachment 650081 View attachment 650081 View attachment 650082
Watu wakanda yaziwa ndo wenye hela au?Sikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa
Duuh!Mtoa tangazo kalenga wateja toka kanda ya ziwa kwa hy bei, msimlaumu wakuu, wasukuma watanunua tuu
Juzi tu nimejipatia sea piano mpyaaa! Kwa 100000/=muuzaji alianzia 150000 nikajifanya naondoka akanishika shati nikamshusha mpk hapoIngekua seapeano bas...