Nauza Saa Hii Kwa Mnada.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Saa Hii Kwa Mnada....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtoboasiri, Sep 5, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...atakaetoa dau kubwa itakuwa yake.

  [​IMG]
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Inapatikana wapj
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ninayo hapa nilipo, we sema tu utatoa kiasi gani?
   
 4. driller

  driller JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  balaa ya hii saa ni kwamba battery ni ubongo wako...!!!
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  saa unaivaa kichwani sasa kama ndio nataka kuangalia muda halafu huwa naitumia kofia kuficha upara wangu nitatazamaje hiyo saa mbele ya wanoko.
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Ukiivaa kofia hii jiandae kusimamishwa watu wasome muda....
   
Loading...