CHIWA
Rozera ni kitu gani, na inatumiwa vipi?
Duuuuh! kitu nalima mwenyewe halafu nilikuwa sijui kinaitwaje !rozela---choya...
Maua madogo ya rangi nyekundu..hutumika sana kutengenezea juice.INASEMEKANA HUONGEZA DAMU HARAKA, inaota singida,dodoma,manyara etc.... Maeneo haya umeuziwa bei kubwa basi ndoo kubwa kwa 5000..
hiyo bei aliyotoa!!na kiwango cha chini kilo 100 au alikuwa ana maanisha nini!!labda wewe umemuelewa!rozela---choya...
Maua madogo ya rangi nyekundu..hutumika sana kutengenezea juice.INASEMEKANA HUONGEZA DAMU HARAKA, inaota singida,dodoma,manyara etc.... Maeneo haya umeuziwa bei kubwa basi ndoo kubwa kwa 5000..
Bora umetuelewesha ndugu yetu wa JF maana huku kwetu ktk Soko Kuu la Majengo ndoo ya lita 20 ni 3,000/ na hata ukutaka gunia ni 18,000/ usiniulize kilo ngapi mm nilishawahi kumpa Shangazi yangu km zawadirozela---choya...