nauza rozera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nauza rozera

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Chiwa, Jul 12, 2009.

 1. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2009
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,378
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  tunauza rozera kuanzia kilo 100
  kilo moja shillingi 12500
  wasiliana nasi kwa simu namba 0767 226144 kwa oder yako
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  CHIWA

  Rozera ni kitu gani, na inatumiwa vipi?
   
 3. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rozora ni kiswahili au kihindi maana sijuiii !!!!
   
 4. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  mmh that price is so high mbona wenzio wanauza less au yako ni more superior quality?
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Unalima mwenyewe au unanunua kwa wakulima?
   
 6. Robweme

  Robweme Senior Member

  #6
  Jul 13, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu, rozera ndo kitu gani labda naweza kuiitaji fafanua tafadhali make kiswahili kinakua kilasiku.
   
 7. GP

  GP JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  We mwenye hiyo biashara hebu sema rozera ndo nini?
   
 8. c

  chuku Member

  #8
  Jul 21, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati mwingine Mtu unakwamisha mwenyewe biashara yako kwani naona wengi haujui Rozera ni kitu gani.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  We Chiwa vp?
  Rozera ni kitu gani jamani?
   
 10. p

  pctarimu New Member

  #10
  Nov 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Whts ths Rozera thing? Biological name? Tunataka tui'search kwenye web. Labda kuna mtu aliewahi fanya research ya jani/ua hili. Tell us.
   
 11. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  rozela---choya...
  Maua madogo ya rangi nyekundu..hutumika sana kutengenezea juice.INASEMEKANA HUONGEZA DAMU HARAKA, inaota singida,dodoma,manyara etc.... Maeneo haya umeuziwa bei kubwa basi ndoo kubwa kwa 5000..
   
 12. gpblaze

  gpblaze JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rozela ni choya. Unaweka kwenye maji kwa ajili ya juice
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika mtu asiyejua Rozela haitaji hata kununua! wanaoliza wako curious tu, na si wateja!
   
 14. f

  filonos JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  tupo WENGI........
   
 15. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duuuuh! kitu nalima mwenyewe halafu nilikuwa sijui kinaitwaje !
  Hii kitu sisi tunatengenezea pombe (Kongwa). Pombe yake tamuuuu,inaitwa choya.
   
 16. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  hiyo bei aliyotoa!!na kiwango cha chini kilo 100 au alikuwa ana maanisha nini!!labda wewe umemuelewa!
   
 17. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #17
  Nov 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Bora umetuelewesha ndugu yetu wa JF maana huku kwetu ktk Soko Kuu la Majengo ndoo ya lita 20 ni 3,000/ na hata ukutaka gunia ni 18,000/ usiniulize kilo ngapi mm nilishawahi kumpa Shangazi yangu km zawadi
  Sema utunzaji wake sio msafi labda ndio maana ya bei kushuka

  Huyu Protozoa anatushusha thamani hata kuuliza Rozera / Rozela imekuwa ujiko watu wa Facebook kz kweli2

  Amoeba Kwa hakika mtu asiyejua Rozela haitaji hata kununua! wanaoliza wako curious tu, na si wateja!
   
Loading...