Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
- Thread starter
- #41
Mzigo mwingine huu kwa WanaJF.
upo wapi kaka deo
Mzigo mwingine huu kwa WanaJF.
Nnayo mkuu, Mil 25 unataka?? si unajua bei ya magari vintage??Mi nataka land rover 109 ya mwaka 1970!
eti ameshapata mteja......
upo wapi kaka deo
mkuu wewe ni mzigo hapa jf,kaa ukijua hilo.
Deo hawezi kukuficha,huo ndo ukweli.
Tobaaa! Hili bulldozer.... dumper? Hiyo 5.0L unaielewa maana yake?
Mimi na wewe tumefahamiana wapi?
mkuu wewe ni mzigo hapa jf,kaa ukijua hilo.
Deo hawezi kukuficha,huo ndo ukweli.
Mimi na wewe tumefahamiana wapi?
Kama unahitaji ni pm tafadhali
Tobaaa! Hili bulldozer.... dumper? Hiyo 5.0L unaielewa maana yake?
Nnayo mkuu, Mil 25 unataka?? si unajua bei ya magari vintage??
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wakuu nimejaribu kuweka picha za Range Rover za mwaka 2012 naona Dogo kaamua kuchangamsha jukwaa hizi gari bei yake ni ghali sana bado sijaweka gharama za matengenezo na nk kwa vyovyote hili gari ni kwaajili ya wafanyabiashara,wakuuu wa makampuni makubwa.