Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
- Thread starter
- #21
Are serious on this
Me ni dalali mzuri
asante, sihitaji dalali mkuu
Are serious on this
Me ni dalali mzuri
Gari zenye cc zaidi ya 2000 ni ndoa ya Kikristu,ukiishaifunga basi....huo ni msalaba wako!
kwikwikwi supu ya mawe naona kile kichapo kimekuletea kizungumkuti mkuu....mpaka unamua kuuza gari au watu jelous wakikuona unalo hilo range.....
nimefukuzwa kazi mkuu, nauza ili nipate mtaji
kazi za kujiajiri zinahitaji watu wenye akili, wewe akili zako inaonesha dhahiri ni wakuajiliwa tu.
utauzaje gari bila picha?
nimefukuzwa kazi mkuu, nauza ili nipate mtaji
ya kuuza range rover au kuchamba kwa mkono
nitaweza nataka pesa kwa ajili ya matibabu na wife baada ya kile kichapo kutoka kwa wanajeshi
Unajua mwenzako bado anauguza majeraha.Hebu muacheeee.......Lol
Atakuwa katikiswa ubongo!!!!!!!
Unajua mwenzako bado anauguza majeraha.Hebu muacheeee.......Lol
acha uoga, wenye pesa tayari washakuja PM mkuu
eti ameshapata mteja......
Unaonekana mchanga sana kwa jinsi mtiririko wako wa mawazo na threads zako za hapo kwa hapo, unaweza kutueleza ni namna gani ulipata hiyo Vogue?