We jamaa hebu kuwa serious,unaletaje tangazo la business kihunihuni namna hii.Hebu jieleze vizuri bana,inawezekana tukawa tunahitaji huu mzigo but uwasilishaji wako sio mzuri..Tupe vitu vivuatavyo.Kipindi hiki cha mvua bila shaka madishi yetu hayafanyi kazi vizuri luningani. Tumia fursa hiyo kucheza game kwa kutumia ps 3.
Naibwaga kwa bei poa kabisa
We jamaa hebu kuwa serious,unaletaje tangazo la business kihunihuni namna hii.Hebu jieleze vizuri bana,inawezekana tukawa tunahitaji huu mzigo but uwasilishaji wako sio mzuri..Tupe vitu vivuatavyo.
1.picha yake halisi ya sasa hivi.
2.bei yake.
3.mawasiliano yako.