Nauza projector

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Ndugu wana jamvi nauza projector inayoitwa Aiptec ni projector yenye redio,deki ya cd na sehemu ya frash ni projector nzur by the way kwa yeyote anae itaji tuwasiliane kwa namba 0788562816 na kwa maelezo zaid asanteni ndugu zangu
 
Bei ni maelewano uki ni pm au ukini tafuta kwa namba yangu nilyoitowa hapo
 
Ndugu wana jamvi nauza projector inayoitwa Aiptec ni projector yenye redio,deki ya cd na sehemu ya frash ni projector nzur by the way kwa yeyote anae itaji tuwasiliane kwa namba 0788562816 na kwa maelezo zaid asanteni ndugu zangu
 
Ndugu wana jamvi nauza projector inayoitwa Aiptec ni projector yenye redio,deki ya cd na sehemu ya frash ni projector nzur by the way kwa yeyote anae itaji tuwasiliane kwa namba 0788562816 na kwa maelezo zaid asanteni ndugu zangu
 
Wewe dalali au, utaratibu humu jf ni kufunguka zaidi
 
Ndugu wana jamvi nauza projector inayoitwa Aiptec ni projector yenye redio,deki ya cd na sehemu ya frash ni projector nzur by the way kwa yeyote anae itaji tuwasiliane kwa namba 0788562816 na kwa maelezo zaid asanteni ndugu zangu
 
Ndugu wana jamvi nauza projector inayoitwa Aiptec ni projector yenye redio,deki ya cd na sehemu ya frash ni projector nzur by the way kwa yeyote anae itaji tuwasiliane kwa namba 0788562816 na kwa maelezo zaid asanteni ndugu zangu

'mkuu ungeweka japo picha na bei ili iwe rahisi kupunguza maswali yasiyo na ulazima kaka/dada'
 
Bei ni laki nbili na hamsini but picha ngoja nifanye mchakato wake
 
Sorry guyz bei ime kosewa ni laki nne na hamsini na siyo laki mbili na hamsini xawa ndugu samahanini kwa usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…