Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,516
Unafanya delivery kwa hapa Dar? Maana yahitajika pia semina elekezi ya matumizi...Hii top ni 150K Boss
Unafanya delivery kwa hapa Dar? Maana yahitajika pia semina elekezi ya matumizi...Hii top ni 150K Boss
Yes Dar nafanya delivery Boss.Unafanya delivery kwa hapa Dar? Maana yahitajika pia semina elekezi ya matumizi...
Noted Boss.Mkuu ukipata mashine nyengine kama hio ya Car wash nisanue. Iwe imara kweli lakini maana nina dyson cyclone la kuvutia vumbi. Nikipata na ya kuoshea gari itakuwa sio mbaya nijiongeze tu walau nipige kazi nzuri.
Sold100 ipo ndugu..