Mmasai Asilia
Member
- Jul 22, 2015
- 48
- 6
Habari za Jumapili wadau wa jukwaa hili la biashara, natumaini wote ni wazima na mnaendelea jukumu la kujenga Taifa.
Kwa fursa hii ningependa kuwataarifu kuwa ninaplot yangu ipatayo Heka Moja na Robo, Naiuza kwa bei poa kwani nahitaji kurudi shule.
Kiwanja hakina hati bali ni Plot, hakina mgogoro wala shida yeyote. Wote mnakaribishwa. Kwa aliyetayari anifuate INBOX nimpe utaratibu wa kukutana nae.