Bei imewekwa mkuu ni 2.6 milKwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
Bei imewekwa mkuu ni 2.6 milKwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
Ndio asee nimegoogle ni kweli Exhaust zinaAffect peformance ya engine. Ndio maana magari ya mashindano yanakuwa na kelele.
https://www.quora.com/How-does-the-exhaust-system-affect-car-performance
Pia hiyo pikipiki ni brand ya ZNEN model RX 150 Scooter
Nzuri,hii inaweza kunifaa kwa kuendea ofisi,Max.speed ngapi mkuu?
Mkuu nimekupm chek msgBei mbona ameandika hapo juu. ??
Mkuu nimekupm chek msg
Bei mbona kasema 2.6 m mkuuKwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
Hizi kelele nyingi itakuwa sio mnunuzi weweKwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
Je kama ame edit baada ya mimi kulalamikaHizi kelele nyingi itakuwa sio mnunuzi wewe
Uungwana na kitendo. Safi sana mkuuMkuu samahani sana kwa lugha ambayo siyo ya kiuungwana kweli umeweka bei ni mimi sikuiona nisamehe!
Mkuu rudia kusomaKwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
Mkuu unaweza kunipa Tip kidogo kama ukinunu Pik pik zanzibar afu nikaja nayo Bara, Utaratibu tu nahitaji kujuaBoss mi nahitaji hyo muffler uliyotoa coz ninayo pikipiki km hyo Ila nikienda Gileara runner SP, CC 180 nlinunua Zanzibar ila muffler yake ilivunjika wakati wa kusafirisha. Vipi naweza kuipata na bei yake ni kiasi gani. Npo Kanda ya ziwa...