THE GOD FATHER
Member
- Jul 29, 2015
- 75
- 68
wakuu salaam zetu.
ninauza pikipiki
bei 2.6m
150cc
imetembea 1577km.
automatic
ipo dar,warehouse
Hii pikipiki haijatumika Tanzania.kwa maana hyo bado haijasajiliwa.pikipiki ni imara ,inatulia barabaran ,ulaji wa mafuta mzuri.Nimeitumia mwenyewe muda wa mwezi 1 kabla sijaamua kuileta Tz.imefungwa sport muffler.
mawasiliano nichek watsapp kwa namba +8615622337342,ukiwa serious nakupa namba ya mtu ukaikague warehouse