Ni milioni 4 za Tz au Zimbabwe mkuu!?be seriousNi Honda xelvis tv250,nilipewa na boss baada ya mkataba kuishaView attachment 945005View attachment 945006View attachment 945007
Good luck!
acha kujigamba nyuma keyboard wewe!Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Acha kuvuta bangi.Nijue ili eweje, nisaidie wewe mimi si muuza pikipiki
Ungekuwa huna shida ungegawa bure kama wewe ulivyopewa bureSaguda47 kwani shida ni sifa? We hujisikii vizuri mtu akisema kwao hawana shida?
Kama huna shida si ukatunze stoo.Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Inaonekana una ujuzi nazo, ukihitaji nyingine nicheck.Hii pkpk engine yake ni two cylinder au