Nauza pikipiki honda 125 xl.ni kama mpya.

Mkuu Ringo hivi pikipiki kama hiyo inakula km ngapi kwa lita moja ya mafuta?
 
Iko makini sana hii
Wasiwasi wangu Mwabulambo ni kuwa bara bara zetu za inji hii hazina urafiki na piki piki.
Binafsi nimeendesha sana pikipiki hapa Dar. Nimekoswakoswa mara kadhaa na nishachomekewa kama mara 10 hivi na zote inabidi nitumie akili ya ziada kuokoa jahazi.
Madereva wa magari wa Bongo hawana huruma kabisa na waendesha pikipiki.
 
Nimeipenda sana Hiyo, ila bei ndio mgogoro.Mi nina 1.5.Mzee wa ukhayaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…