Nauza pikipiki aina ya fekon

Nauza pikipiki aina ya fekon

A M. Lyimo

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
50
Reaction score
27
Nipo goba kwa ndambi. Nimeinunua tarehe 30/11/2013. Nikaitumia kibiashara kwa miezi 3 kisha nikaipaki tu ndani. Mwezi huu mwanzoni nikampa kijana mwingine akaanza longo longo sasa biashara imenishinda. Naiuza kwa shilingi za kitanzania 1,300,000/= mwenye kuihitaji awasasiliane na mimi kwa namba hii 0654241194
 
'kula laki saba mkuu fasta ipo hapa'
 
Back
Top Bottom