Nauza pesa za zamani

Nauza pesa za zamani

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,423
Reaction score
8,653
Habar wana Jf hope ni wazima

kama unamaitaji au shida ya pesa za zamani SHILINGI MOJA pesa ya kitanzania toleo la mwama 1982 zipo nyingi to naziuza serious buys njoo inbox kama unaziitaji

6f0902ee32ce95a573c8a85ec81b43bc.jpg

Bei mapatano
 
kwel we n zwazwa baada ya kuvamia forex na kukupiga za uso umeamua kuiraisisha forex kwa kuuza mashilingi yasio na thaman
sasa unamuuzia mtu apeleke wp??
mi grisi nnayo njoo nkuuzie
zezeta katika ubora wako.
 
Habar wana Jf hope ni wazima

kama unamaitaji au shida ya pesa za zamani SHILINGI MOJA pesa ya kitanzania toleo la mwama 1982 zipo nyingi to naziuza serious buys njoo inbox kama unaziitaji

6f0902ee32ce95a573c8a85ec81b43bc.jpg

Bei mapatano
Wenzako tunanunua £ ,$,¥ na € kwenye Forex wewe unatuletea upuuzi. .

Umasikini utakuua kumbe huna hata hela ya bundle hahahaha ..

Weka namba ya simu hapo nikutumie walau laki 1 ya ugali na bando
 
Wenzako tunanunua £ ,$,¥ na € kwenye Forex wewe unatuletea upuuzi. .

Umasikini utakuua kumbe huna hata hela ya bundle hahahaha ..

Weka namba ya simu hapo nikutumie walau laki 1 ya ugali na bando

Nimefanya ivi makusudi ili mlete mapovu ahahahah
 
Back
Top Bottom