Nauza pedi za kufua kwa jumla

Nauza pedi za kufua kwa jumla

Hizi pad za msaada kwa wakimbizi ukikamatwa nazo mtaani sio tatizo?
 
Hizi pad za msaada kwa wakimbizi ukikamatwa nazo mtaani sio tatizo?
Hazitengenezwi special kwa wakimbizi;znatengenezwa kwa ajili ya wasichana wote wanaoweza kuzitumia..
Hvyo hazivaliwi na wakimbizi pekee
 
Pedi za kufua
IMG_20191013_145809_185.jpeg
IMG_20191013_135907_666.jpeg
20191008_170103.jpeg
 
Hizi pad za kufua hygenically naona kama sio nzuri, kwa maoni yangu siwezi kuja tumia, sio kwamba ni mvivu wa kufua nooo, ila hali halisi ya period wanawake wenzangu mwaijua, back in time nimewahi tumia vitambaa na pia nilikua nikimaliza nacho nafunga vizuri kweny mfuko wa rambo nachoma moto
Jambo wakuu..
Nauza pedi za kufua kwa wafanyabiashara wanaotaka mzigo wa jumla.
Bei ni 6500 kwa packet na ninatuma kwenye mkoa wowote Tanzania.
View attachment 1186858View attachment 1186859
 
Hizi pad za kufua hygenically naona kama sio nzuri, kwa maoni yangu siwezi kuja tumia, sio kwamba ni mvivu wa kufua nooo, ila hali halisi ya period wanawake wenzangu mwaijua, back in time nimewahi tumia vitambaa na pia nilikua nikimaliza nacho nafunga vizuri kweny mfuko wa rambo nachoma moto
Uhuru wa mawazo
 
Nicheki inbox nikupe kamchongo fulani hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom