Nauza PC radio ndogo na LG flat screen

Xavier Africa

Senior Member
Oct 4, 2017
180
384
IMG_20171004_212533.jpg
IMG_20171004_212533.jpg
IMG_20171004_212049.jpg
IMG_20171004_212049.jpg
IMG_20171004_212049.jpg
IMG_20171004_212551.jpg
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza wanandugu nauza hivyo vitu

PC Dell inspiron core i3 HDD 500
LG Flat screen nch 24 ina VGA HDMI RGB PC
Radio ndogo(suboofer)

DSTV dish na decoder yake
Vyote jumla ni 500,000/= (laki tano)

Watssap/call ni 0654352424 karibuni sana
 
Vizuri sana
Umeendana na maisha halisi ya mtanzania wa Leo.
Mpk hapo umepunguza sana hizo bidhhaa si chini ya M1 na zaid. Mtu akikuambia punguza tena Naomba Nitag nilale nae mbele jamaa yangu au mpotezee mteja lazma upate kwa bei hio.

NB: dereva kasema wale wenye nguo zinazobana msitupe January Mtamodoa
 
Dah aisee watu dar mnaongoza kwakuuza vitu vyandani kipindi hiki sijui ndio tuseme ile kauli yababa mwenye nyumba inatimia! Ila kama unauza kwaheri basi sawa ila kama unauzia matatizo polee sana mkuuu
 
Back
Top Bottom