Nauza pasi original za Philips

Nauza pasi original za Philips

Pass zimebaki 18 mpaka sasa, feni zipo nyingi,kwa wanaofahamu hizi feni (USHA) ni bora sanaaa, ni brand isiyochuja wala kupelekwa kwa fundi!
 
Mimi nina pasi aina ya Kennwood nilinunua 2013 mpaka leo naitumia bila shida yoyote ni miaka 8 sasa haijawahi pata shida yoyote OG ni OG tu
 
Kuna pasi jamii hiyo niliinunua 1994, wakti mzee Mwinyi anaelekea ukingoni kwenye awamu yake, bado inadunda hadi kwenye hii awamu ya sita!
 
Mie ninayo moja dizaini iyo,mwaka wa 3 huu....ila mie nilinunua kariakoo kwenye maduka ya vifaa vya umeme
 
Kuna pasi tunayotumia nyumbani, design inafanana na hii made in Russia. Huu ni mwaka wa 40 bado iko fit kabisa. Inaangushwa chini ukiiomota una I plug in inakwenda.
Duuh kama ulianza kutumia miaka 40 iliyopita maana yake una zaidi ya miaka 60,hongera na hakika wewe ni kisima Cha maarifa kwa sisi vijana!
 
Picha ya feni tafadhali
Usha feni ni hizi hapa!
Zipo vizuri mno!
IMG-20210705-WA0025.jpg
IMG-20210705-WA0026.jpg
IMG-20210705-WA0026.jpg
 
Hizi pasi ndio mwisho wa matatizo..nimeanza kutumia miaka ya 2000s hadi leo ninayo inapiga mzigo
 
kwa nguo za vitambaa laini inafaa kwa 80% , lakini kwa nguo kama jeans, Khaki, na nyinginezo nzito nzito haifai
Pasi ipininafaa kwa nguo ngumu.
Philipz kweli ni nzuri. Ila moto mkali sana hazina
 
35k tu mimi nimennua hizo punguza bei
Bila shaka hiyo ni made in China!
Zipo za mpaka 15000 mkuu, ni chaguo la mnunuzi tu, na kama ni aina hii hii ninayoitangaza na umenunua kwa 35,000/= naomba weka hapa ushahidi wa picha inayoonyesha manufacturer, then nitakupa 35000 uniletee pia!
 
Ninauza pasi original za Philips!
Hizi ni pasi bora na imara mno,ukiinunua na kuitunza vizuri ni mkataba wa kudumu, Hizi pasi ni mpya na zipo kwa box zake.

Kwa bei za dukani zinauzwa 45000-50000, Mimi nitakuuzia sh.40,000/= tu, nina pasi 25, karibuni, nipo Mabibo,na kama upo mkoani nitakutumia pia!

Kwa mawasiliano zaidi nicheck kwa 0629109840.View attachment 1840407
Namba ya simu plz, nipigie 0784 800 386
 
Back
Top Bottom