Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,631
Reaction score
6,494
Nauza paka/nyau.

Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus.

Location:
Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala)

Mawasiliano:
0718 727210 (Whatsapp/SMS)

Bei:
540,000/= kwa paka mmoja.
Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/=

Picha:
Anajificha nisimpige picha

IMG_20220307_165512_883.jpg


Anapiga miayo anasikia usingizi
IMG_20220307_165523_858.jpg

Wanacheza kwa furaha
IMG_20220307_165540_656.jpg

IMG_20220307_165532_706.jpg
 
Mkuu hawa si ndy wale paka wa kuogopa panya?

Ukimwekea chakula kwenye sahani Hali Hadi mshkaji wake panya amsapoti wale wote,alafu unauza 500k?

Sifa Yao kubwa hawa paka ni kunya kwenye vitu vyenye asilli ya unga unga.Unapiga zako kijiko kwenye sukari uweke kwenye chai unashangaa unakutana na mavi,unachota zako unga utoe kitu cha ugali mara paap umebeba na mzigo wa nyau..alafu anauzwa 500k?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom